Ijumaa , 20th Mei , 2022

Hitmaker wa ngoma ya Asu Abdul Misambano amefunguka ukweli wake kwa kusema mwanamke mmoja hatoshi kuwa naye kwenye ndoa.

Picha ya Abduli Misambano

Akizungumzia hilo kwenye Mama Mia ya East Africa Radio Abduli Misambano anasema 

"Sisi ni waislam tunaruhusiwa kuwa na wanawake wanne, watatu, wawili au ikishindiakana mmoja, wakati mwingine mwanamke mmoja kwa kweli hatoshi, siku akikununia au kususa utaenda wapi".

MamaMia ni kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 4:00 Asubuhi mpaka 6:00 Mchana.