Jumanne , 28th Jun , 2022

Staa wa filamu nchini Irene Uwoya anaendelea kuwakumbusha watu waendelee kutafuta pesa kwa sababu mwanamke mzuri anatengenezwa haji hivihivi.

Picha ya Irene Uwoya

Kuhusiana na hilo Irene Uwoya ameshea ujumbe unaoeleza kwamba "Pisi za instagram bwana zinaweza kukufanya uone demu wako ni Non Living Thing, mwanamke mzuri anatengenezwa bruh".