Bashungwa aagiza mashabiki wapewe tiketi upya

Jumanne , 11th Mei , 2021

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa, amezitaka mamlaka za serikali zinazohusika na masuala ya tiketi kuhakikisha zinawapatia tiketi upya mashabiki takribani 43,000 waliokuwa wamekata tiketi.

Mashabiki wa Simba na Yanga

Aidha ameagiza mamlaka za soka ikiwemo Bodi ya Ligi na TFF, kupanga upya tarehe ya mechi ya Simba SC vs Yanga.
 

Soma taarifa kamili ya Wizara hapo chini