Jumamosi , 7th Mar , 2020

Shabiki wa Yanga Jimmyu Kindoki amefunguka na kudai moja ya tofauti yake kubwa na Msemaji wa Simba Haji Manara ni suala la elimu, Pesa.

Jimmy Kindoki na Haji Manara

Haji Manara ametoa kauli hiyo wakati akiwa kwenye mahojiano maalum kati EATV na EA Radio Digital, ambayo wakati akielezea kuelekea kuhamasisha wanachama wake kuelekea mechi ya Simba na Yanga.

'Unajua Manara mimi hanipati kielimu, kwa sababu wakati nasoma sijawahi kufeli pi nina shahada ambayo sidhani kama Manara anayo, pia mimi nina pesa nyingi' amesema Jimmy Kindoki

Tazama video kamili hapo chini.