Jumapili , 26th Dec , 2021

Kutokana na kuwepo kwa baadhi ya mila na desturi zinazoendelea kuwa chanzo cha ukatili kwenye jamii, Wizara ya Afya imeanza mkakati wa kubaini mila na desturi zenye madhara ili kuziondoa kwa kushirikisha jamii.

Wadau mbalimbali kwenye nkutano wa kujadili mila

Mkurugenzi Msaidizi Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Wizara ya Afya Juma Samwel amewataka wananchi wa Shinyanga kuzijadili mila hizo.
 

Tazama Video hapo chini