Wahamiaji haramu 78 wakamatwa, wamo Watanzania

Baadhi ya wahamiaji haramu waliokamatwa

Jeshi la Uhamiaji mkoani Iringa kwa kushirikiana na ofisi ya Mamlaka ya Mapato mkoani humo (TRA) limewakamata wahamiaji haramu 78 raia wa Ethiopia na Watanzania wawili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS