Simba SC kulipa kisasi fainali Mapinduzi Cup leo?
Michuano ya Kombe la Mapinduzi inataraji kuhitimishwa leo kwa mchezo mmoja wa fainali ambao utawakutanisha Mabingwa wa Kihistoria wa Kombe hilo, Klabu ya Azam dhidi ya Makamu Bingwa , Klabu ya Simba saa 2:15 usiku wa leo.