RC Ruvuma apata uongozi CCM Tanzania bara

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christina Mndeme

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amepitishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia leo Aprili 30, 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS