Terrence Clarke wa NBA, afariki Dunia 

Mcheza kikapu chipukizi aliyefariki Dunia mchana wa jana, Terrence Clarke.

Mcheza kikapu chipukizi kutoka chuo kikuu cha mchezo wa mpira wa kikapu cha Kentucky kilichopo nchini Marekani, Terrence Clarke amefariki Dunia mchana wa jana baada ya kupata ya ajali ya gari iliyotokea kwenye jiji la Los Angeles nchini Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS