Msajili wa vyama awaonya upinzani mbele ya Rais

Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi

Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amemuagiza Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, kwamba akawaambie wapinzani wenzake watulie na waache kuwasilisha masuala ya Bunge kukiwa na masuala ya Kitaifa na kwamba huu mwaka 2021 wawe na uzalendo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS