Waliovamia maeneo ya wazi wapewa tahadhari

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa Swagile Msananga (mwenye suti nyeusi) akiwa naTimu ya Uhakiki wa Maeneo ya wazi kutoka Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Rukwa.

Wananchi waliovamia maeneo ya wazi wamepewa tahadhari juu ya kuondolewa kwao kwani maeneo hayo yanapaswa kulindwa kwa nguvu zote.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS