Mbunge wa zamani Moshi Vijijini afariki Dunia

Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Vijijini, Dr. Cyrili Chami

Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Vijijini, Dr. Cyrili Chami, amefariki dunia usiku wakuamkia leo Novemba 5, 2020, katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS