Kituo cha Makumbusho cha dhibiti vibaka Pichani ni Kituo cha Mabasi ya Daladala cha Makumbusho. Meneja msimamizi wa kituo cha mabasi ya daladala cha Makumbusho Haidery Salum amesema kwa sasa wanefanikiwa kudhibiti wimbi la vibaka ambao walikuwa wakiwaibia abiria katika kituo hicho. Read more about Kituo cha Makumbusho cha dhibiti vibaka