JPM atoa ujumbe kwa Marais wataokuja siku za usoni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli, amewataka viongozi wa serikali na wale ambao watateuliwa kuwa Marais siku zijazo, wahakikishe hawafanyi ubinafsishaji wowote wa mashirika badala yake yabaki kuwa chini ya serikali ili yaweze kuendelea kutoa huduma kwa wananchi.