"Mimi na Irene Uwoya hatujawahi kuachana"-Msami Kushoto kwenye picha ni Msami Baby, kulia ni Irene Uwoya Msanii na mkali wa kucheza Msami Baby, amesema bado anawasiliana kishkaji na mpenzi wake wa zamani Irene Uwoya, na hawajawahi kuambiana kama wameachana katika mahusiano yao. Read more about "Mimi na Irene Uwoya hatujawahi kuachana"-Msami