Mfalme wa soka Afrika kujulikana leo, Senegal
Tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika inatarajiwa kutolewa leo Jijini Dakar nchini Senegal, ambapo jumla ya mastaa watatu wanaocheza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Mohamed Salah, Pierre-Merick Aubameyang na Sadio Mane.