Hatimaye TFF yamrejesha Mwenyekiti Yanga
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia kwa kamati yake ya Rufaa ya Uchaguzi chini ya Mwenyekiti wake, Kenneth Mwenda, imemrejesha mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yono Kevela ambaye alikuwa ameenguliwa.