Dunia kuviona vivutio vya utalii mubashara
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa, amesema kwamba Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), litajenga studio ya kurusha vivutio vya utalii mubashara itakayowezesha vivutio vya utalii chini kurushwa moja kwa moja kwenye mitandao na chaneli za kimataifa.