Mfumo wa ‘Head to Head’ kuamua bingwa

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, amesema katika mkutano mkuu ujao wa shirikisho hilo watajadili na ikiwezekana kupitisha sheria ya kuamua bingwa kwa kutumia mfumo wa ‘Head to Head’ kama timu mbili za juu zitakuwa zimelingana

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS