Nikki amjibu Nyandu mafanikio ya Weusi
Msemaji kutoka kundi la Weusi Nikki wa pili amejibu msanii Nyandu Tozi kwamba asitegemee majibu ya kashfa kutoka ndani ya kundi lao na kwamba kuzungumzia maisha yao binafsi kwenye vyombo vya habari siyo mipango yao bali muziki na masuala ya kijamii.

