Mgomo wa vyombo vya usafiri wapingwa
Chama cha Mawakala na Makarani wa Usafiri wa Abiria jijini Dar es Salaam umesema hautambui mgomo wa wamiliki wa vyombo vya usafiri uliotangazwa na Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini TABOA uliopangwa kufanyika keshokutwa Jumanne.