Singida Black Stars wamshauri Uchebe aanzishe timu Patrick Aussems - Aliyekuwa Kocha wa Singida Black Stars Klabu ya Singida Black Stars imemshauri aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Patrick Aussems kuanzisha timu yake ili aonyeshe mfano kwenye soka la Tanzania. Read more about Singida Black Stars wamshauri Uchebe aanzishe timu