Vyuo vikuu Mt. Joseph Songea vyafutwa

Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania TCU imevifuta vyuo vikuu vishiriki viwili vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph Tanzania Kampasi ya Songea mkoani Ruvuma kutokana na kutokukidhi viwango vya utoaji elimu kwa ngazi ya shahada.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS