Van Gaal asema sheria ya Murphy ndiyo ya kulaumiwa
Kocha mkuu wa klabu ya Manchester united Luis Van Gaal ametumia sheria ya kisayansi ya Murphy kuelezea kipigo walichopata kutoka kwa Midtjyland ya Denmark inayosema kila kitakachokwenda mrama basi vyote vitakwenda mrama.