Tanzania,India kushirikiana katika Tehama.
Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kuingia makubaliano na India kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha masuala ya tehema ili kuongeza tija katika sekta hiyo ikiwa ni matokeo ya ziara kadhaa zilizofanywa nchini India.

