Mkandarasi akabidhiwa mradi wa umeme Tabora
Wakala wa nishati vijijini (REA) kanda ya magharibi imemkabidhi mkandarasi mradi wa kusambaza umeme wenye thamani ya zaidi ya shilingi billion 6.5 utakao yafikia maeneo 46 ya pembezoni mwa miji ya Nzega na Tabora