Harusi Trade Fair 2015 yazinduliwa

Mwakilishi wa East Africa Television( EATV) na East Africa Radio Brendansia Kileo

Onyesho kubwa kabisa la Harusi Trade Fair 2015 ambalo huleta pamoja bidhaa na mitindo maalum kwa ajili ya harusi, limezinduliwa rasmi leo Jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS