Serikali yachelewa kulipa pensheni kwa wazee
Serikali ya Tanzania imesema imechelewa kuanza kuwalipa Pensheni wazee nchini kutokana na mpango huo kutokamilika, licha ya waziri mkuu kutoa agizo la kuwalipa katika sherehe za kilele cha siku ya wazee Duniani mwaka 2010.