Wakenya wawapongeza Wamasai na Wasonjo Jamii wa wafugaji kutoka Wilaya ya Narock nchini Kenya wamezipongeza jamii za Wamasai na Wasonjo kwa hatua ya makubaliano ya kumaliza uhasama ambao umekuwepo kati yao kwa muda mrefu. Read more about Wakenya wawapongeza Wamasai na Wasonjo