SITE
Mafundi wanajitahidi kuchukua ubunifu sehemu mbalimbali za dunia ili kuweza kuwaridhisha wateja ambao wanawajengea nyumba. Fundi Maneno anasema kuwa wanajitahidi sana kuangalia kazi za wengine nje ya nchi na kuzitumia hapa nchini Tanzania.
SITE
Vigezo ambavyo wanatumia mafundi katika kutengeneza maumbo kwenye nguzo ni vipimo vya kawaida tu kiufundi.
FAHARI YA NYUMBA
Wataalamu wa maua wanashauri kuwa, mtu yeyote anaweza kupanda maua katika mazingira anayoishi. Cka kufahamu tu ni tabia za maua pamoja na bustani halisi utakayokufaa katika mazingira yake.
