Wasanii wa filamu kulia ni Aunty Ezekiel na kushoto ni Wema Sepetu
Akitumia ukurasa wake wa Instagram kufikisha ujumbe huo Petitman Wakuache amepost video fupi akiwa na Wema Sepetu na Aunty Ezekiel huku akiwapa onyo kwamba ole wao wagombane tena.
"Kama kawaida nipo na ndugu zangu wa ukweli kabisa, kwani mlipotelea wapi nishawapatanisha sasa ole wenu mgombane tena, kwa nini mliniacha mwenyewe sasa kwenye group mkaleft" amesema Petitman Wakuache
Zaidi tazama kwenye video hapa chini.