Benzema, Neymar mambo safi, Ramos nje UCL
Hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa Barani Ulaya inataraji kuanza kuchezwa usiku wa leo Februari 15, 2022 kwa michezo miwili ambapo Real Madrid itacheza ugenini dhidi ya PSG huku Sporting Lisbon itakuwa wenyeji wa Manchester City michezo yote saa 5:00 usiku.

