Wahamiaji haramu 78 wakamatwa, wamo Watanzania Baadhi ya wahamiaji haramu waliokamatwa Jeshi la Uhamiaji mkoani Iringa kwa kushirikiana na ofisi ya Mamlaka ya Mapato mkoani humo (TRA) limewakamata wahamiaji haramu 78 raia wa Ethiopia na Watanzania wawili. Read more about Wahamiaji haramu 78 wakamatwa, wamo Watanzania