Polisi Kaskazini Pemba yawatawanya wananchi
Kamishna wa Polisi Kaskazini Pemba Juma Saidi Hamisi, amesema Jeshi la Polisi humo limelazimika kutumia mabomu ya machozi usiku wa kuamkia leo Oktoba 27, 2020 ili kuwatawanya wananchi waliojitokeza kutaka kupiga kura.