Baada ya ushindi, Yanga yapewa tahadhari kubwa kikosi cha KMC kinachowasibiri Yanga jijini Mwanza Kocha mkuu wa KMC Habibu Kondo, amewatahadharisha Yanga kutokwenda na matokeo kichwani katika mechi dhidi yao itakayochezwa Jumapili ya tarehe 25 /10/2020 jijini Mwanza. Read more about Baada ya ushindi, Yanga yapewa tahadhari kubwa