Hatma ya wanafunzi waliosimamishwa UDSM
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa wataweza kuwaita viongozi Sita wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho (DARUSO), waliosimamishwa masomo kwa ajili ya hatua zingine.