"Walisema natupa pesa" – Paul Makonda Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, amesema kwamba anamshukuru Mungu kwa uponyaji wa Pascal na kumpa moyo wa kusimama naye, japo watu wengi walimkatisha tamaa. Read more about "Walisema natupa pesa" – Paul Makonda