Rais Magufuli atoa siku 30 kwa wafanyabiashara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa siku 30, kwa baadhi ya makampuni ambayo yamekuwa yakijihusisha na ukwepaji kodi, kwa kuanzisha Makampuni hewa ya nje na baadaye kuomba punguzo la bei ya thamani kwa bidhaa wanazoziuza nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS