Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Malangwe Mchungahela (katikati).
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Malangwe Mchungahela, amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wa Yanga kwa kuwataka wagombea kufanya kampeni kwa amani bila kumchafua mwingine.