Kangi Lugola awaokoa wenye pua ndefu Waziri Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amepiga marufuku tabia ya Maafisa Uhamiaji kuwatambua wahamiaji haramu kwa kigezo cha Pua ndefu. Read more about Kangi Lugola awaokoa wenye pua ndefu