Zitto awaponza viongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Jeshi la Polisi Wilayani Kigoma linawashikilia viongozi watatu wa Ngome ya Vijana Jimbo la Kigoma Mjini waliokwenda polisi kutoa taarifa ya kufanya maandamano ya amani. Read more about Zitto awaponza viongozi wa ACT Wazalendo