Kazi anayoitafuta Wenger mbali na ukocha Arsene Wenger Meneja wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameripotiwa kuwa hawazi tena kuwa kocha mkuu wa timu zaidi tu anaitaka nafasi ya kuwa Mkurugenzi wa ufundi au kuwa kwenye bodi ya timu. Read more about Kazi anayoitafuta Wenger mbali na ukocha