Tanzania kwenye ramani ya Hollywood

Tanzania imeonekana kupewa heshima kubwa kwenye jukwaa la filamu nchini Marekani 'Hollywood', baada ya kampuni maarufu ya kutengeneza filamu ya Disney, kuweka picha za mlima Kilimajaro kwenye filamu mpya ya 'The Lion King' ambayo inatarajiwa kuachiwa Julai 2019.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS