Diddy azinguliwa juu ya kifo cha mzazi mwenzie

Diddy akiwa na aliyekuwa mke wake, Kim Porter

Msanii mkongwe wa muziki nchini Marekani, Puff Daddy 'Diddy', amekosolewa na mashabiki wake baada ya kuweka picha ya kuchekesha katika ukurasa wake wa instagram, ikiwa ni siku chache tangu alipofiwa na mke wake, Kim Porter.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS