"Lazima nigeuke kama Alikiba"- Mr. Blue
Rapper wa bongo Kherry Samir a.k.a Mr. Blue ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa 'mbwa koko' amefunguka na kudai sababu kubwa iliyompelekea kumtaja Alikiba katika ngoma hiyo ni kutaka kujiweka mbali na wanawake wanaoshindwa kujistili