Mwakyembe awaombea Serengeti Boys kwa Everton
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amesema ataviomba vilabu vingine vya nje viwachukue wachezaji wa timu ya taifa ya wenye umri chini ya miaka 17 wakapate uzoefu na kukuza vipaji.

