Ujerumani na Kenya kukuza biashara
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anaendelea na ziara barani Afrika leo Ijumaa, kwa kufanya mazungumzo na Rais wa Kenya William Ruto mjini Nairobi. Kansela Scholz ameunga mkono Afrika kuwakilishwa katika kundi la G20.