Simba yachakazwa kwenye mashamba ya miwa
Wachezaji wawili ambao wamewahi kuitumikia Simba SC, wametosha kuipa ushindi wa mabao 2-1 Kagera Sugar na kuwazamisha mabosi wao wa zamani katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliopigwa leo katika dimba la Kaitaba, Mjini Bukoba