Steve RnB alia na uongozi kumtia hasara Steve RnB Msanii wa RnB amesema licha ya wimbo wake wa Tabasamu kuwa ndiyo uliomtoa na kumtambulisha kwenye muziki, hakupata mafanikio makubwa kutokana na uongozi wake kushindwa kumsimamia vizuri. Read more about Steve RnB alia na uongozi kumtia hasara