Rungu la TFF Yanga yapigwa faini ya shilingi 1,000,000/- kutokana na timu hiyo kutoingia vyumbani, na pia kutumia mlango usio rasmi wakati wa kuingia uwanjani katika mchezo wake na Majimaji, Mjini Songea. Read more about Rungu la TFF